1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Imamu na waumini wauliwa Mwanza

Elizabeth Shoo20 Mei 2016

Polisi mkoani Mwanza, Tanzania inawashikiliwa watu watano kuhusiana na tuhuma za mauaji ya imamu wa msikiti na waumini wawili ndani ya msikiti wa Masjid Rahma uliopo wilaya ya Nyamagana mkoani humo.

https://p.dw.com/p/1Ir7g
Ramani ya Tanzania, Mwanza
Picha: DW

[No title]

Sudi Mnette amefanya mahojiano na mkuu wa polisi Mwanza, Ahmed Msangi, akitaka kufahamu kibi polisi walichokibaini hadi sasa.