1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Themenheader Wahlen Kenia

Kenya Yaamua

Uchaguzi Mkuu wa Kenya 2017

Kenia Präsidentschaftswahl Raila Odinga (Getty Images/AFP)

Mjuwe Raila Odinga, mgombea urais wa NASA

Panapokuwa na mjadala wa siasa kuhusu Kenya, uwezekano mkubwa ni kwamba katikati ya mazungumzo litaibuka jina la Raila Odinga, mzaliwa wa Kisumu mwaka 1945, akiwa mtoto wa makamu wa kwanza wa rais wa nchi hiyo, Jaramogi Oginga Odinga.