1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Idadi ya wanaokufa wakijifungua yaongezeka

Hizo ni takwimu katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara. Kauli mbiu ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Wakunga ni, "Wakunga, mama na familia washirika wa maisha."

Sikiliza sauti 02:43

Mahojiano na Sawiche Wamunza

DW imezungumza na meneja mawasiliano wa shirika la kimataifa linalohusika na wakunga na kuratibu vyama vya wakunga duniani ICM, Bi Sawiche Wamunza, anayeanza kueleza hali ilivyo duniani kote juu ya hali ya mkunga.
 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada