1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hina yapoteza maana yake Uswahilini?

24 Juni 2011

Kama zilivyo mila nyingine kwenye utamaduni wa Mswahili, pambo la hina nalo linaonekana kuvamiwa na mabadiliko ya kisasa, jambo linalosababisha kupotea kwa ule uasili wake na kuifanya hina kuwa kama jambo la kawaida tu.

https://p.dw.com/p/RVdc
Harusi ya ufukweni katika pwani ya mashariki ya Zanzibar
Harusi ya ufukweni katika pwani ya mashariki ya ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke

Saumu Mwasimba anazungumza na wataalamu wa hina kutoka pwani ya Afrika ya Mashariki kuhusu maana, umuhimu na miko ya pambo hilo maarufu miongoni mwa jamii ya Waswahili.

Mtayarishaji/Msimulizi: Saumu Mwasimba
Mhariri: Othman Miraji