1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hekaya za Bi Khadija Ali: Utu bora kuliko pesa

Khadija Ali19 Januari 2016

Mama Kabibi na mwanawe Kabibi waliishi katika maisha ya dhiki. Umasikini uliwaelemea. Ulimwengu wakauona mchungu, kwani hata ule mlo wao wa siku uliwawia vigumu kuupata kwa ukamilifu.

https://p.dw.com/p/1Hfzs
Picha: Getty Images

Katika simulizi hii, Khadija Ali anasimulia namna utu unavyopindukia utajiri wowote wa mali na vyeo alionao binaadamu, na namna masikini naye alivyo mtu licha ya kutokuwa na kitu. Bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini, kusikiliza "Utu bora kuliko pesa".