1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Khelef Mohammed Mohammed30 Januari 2017

Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika, ECOWAS, imefanikiwa kumshinikiza aliyekuwa Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, kuondoka madarakani na kumpisha Adama Barrow aliyeshida kupitia uchaguzi wa urais nchini humo. Je, hatua hii inamaanisha kuimarika kwa demokrasia miongoni mwa mataifa ya Afrika au ni ishara ya kuendelezwa ubabe wa mkubwa dhidi ya mdogo?

https://p.dw.com/p/2WcH4