1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatua ndogo na ya kuchelewa?

17 Julai 2007

Katika mkakati wake mpya kuelekea Mashariki ya Kati, rais Bush wa Marekani ametoa mwito kwa viongozi wa nchi za Kiarabu kumuunga mkono rais Mahmoud Abbas wa Palestina pamoja na kudai kufanyika mkutano wa kimataifa kuhusu Mashariki ya Kati baadaye mwaka huu. Mwandishi wetu Peter Philipp ambaye anajihusisha hasa na masuala ya Mashariki ya Kati katika uchambuzi wake anatathmini mkakati huu mpya wa rais Bush.

https://p.dw.com/p/CHAt