1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hamahama ya wanasiasa Tanzania

21 Machi 2018

Kunashuhudiwa wimbi la wanasiasa hasa madiwani kutoka upinzani wakihamia CCM, hali ambayo imezusha maswali kuhusiana na mustakabali wa kisiasa wa taifa hilo. Unatakiwa pia uchunguzi wa gharama za chaguzi za marudio.

https://p.dw.com/p/2uhon
Wanasiasa Tanzania
Picha: DW

J3.21.03.2018 wanasiasa - MP3-Stereo