1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama nchini Libya

26 Novemba 2013

Hali ya usalama nchini Libya inazitia wasiwasi nchi jirani na zile za Magharibi zilizounga mkono vuguvugu la mapinduzi dhidi ya utawala wa Muammar Gaddafi miaka miwili iliyopita.

https://p.dw.com/p/1AOiJ
Mapigano nchini Libya
Mapigano nchini LibyaPicha: Reuters

Serikali ya Libya ilitowa taarifa hapo jana ikisema watu tisa wameuwawa na wengine 49 walijeruhiwa katika mapambano ya kufyetuliana risasi katika mji wa Beghazi na kuwataka watu wa eneo hilo kubakia watulivu hadi pale vikosi vya usalama vitakapoweza kuhakikisha hali ya usalama. Makundi ya siasa kali yanalilaumu jeshi kwa ghasia hizo zinazoshuhudiwa. Saumu Mwasimba amezungumza na Masoud Salum aliyeko mjini Tripoli na kwanza alikuwa na haya ya kueleza. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Abdul-rahman

Mwandishi:Yusuf Saumu