1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya uchaguzi Pwani ya Kenya

Admin.WagnerD4 Machi 2013

Pamoja na kasoro za hapa na pale lakini zoezi la upigaji kura kwa sehemu kubwa linaendelea nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/17q6V
Schlagworte: Kenyan elections 2013, Wer hat das Bild gemacht: James Shimanyula Wann und wo wurde es aufgenommen: 04.03.13, Mutomo  polling  station  in  central  Kenya Was ist darauf zu sehen : voters  queueing  to  vote  at  Mutomo  polling  station  in  central  Kenya,  60 kilometres    north  of  Nairobi.  Angeliefert von Mark Caldwell am 4.3.2013. Der Fotograf ist laut mr. Caldwell DW-Mitarbeiter.
Kenia Wahl 2013Picha: DW/J.Shimanyula

Sudi Mnette wa DW amezungumza na Amina Soud ambae Afisa kutoka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka anaeratibu kaunti za Mombasa, Kwale na Tahita, ambako kuna jumla ya wapiga kura karibu laki saba na kwanza alitaka kujua hali ikoje katika maeneo hayo ya Pwani. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Josephat Charo