1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya kisiasa ya Kenya kabla ya uchaguzi wa 2022

Mnette, Sudi5 Juni 2018

Kenya imeingia katika hali ngumu ya kisiasa kabla ya uchaguzi ujao wa 2022. Tayari watu wameanza kujadili kuhusu mrithi wa rais Uhuru Kenyatta na kuonekana kama wameyapa kisogo mambo muhimu ya maendeleo.

https://p.dw.com/p/2yy2P