Hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar kabla ya uchaguzi mwakani | Matukio ya Kisiasa | DW | 04.08.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar kabla ya uchaguzi mwakani

Zoezi la kuwaandikisha wapiga kura wepya katika daftari la kudumu la wapigaji kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwakani huko Zanzibar linakabiliana na shida.

default

Rais Aman Abeid Karume wa Zanzibar.

Watu jana na leo katika wilaya ya uchaguzi ya Ole, Kisiwani Pemba, wakisusia kujiandikisha na kupinga sharati kwamba lazima wawasilishe vitambulisho vya ukaazi wa Zanzibar kabla ya kuandikishwa. Fujo zilitokea. Leo tume ya uchaguzi huko Pemba ililazimika kusitisha zoezi hilo katika eneo hilo. Punde hivi Othman Miraji alizungumza kwa simu na mwandishi wa habari Munir Zakaria aliyekuweko katika eneo hilo na kumuomba atuarifu nini hasa kilichojiri huko Ole. Mwandishi: Othman Miraji Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 04.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/J3Xh
 • Tarehe 04.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/J3Xh

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com