1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Misri baada ya Shambulio la Bomu lililotokea katika kanisa la Coptic

5 Januari 2011

<p>Tangu lile shambulio la bomu la hivi karibuni liloelekezwa dhidi ya kanisa la madhehebu ya Coptic mjini Alexandria, nchini Misri, na kuuwa watu 21, hali nchini Misri, na hasa katika mji mkuu wa kairo, si shuwari.</p>

https://p.dw.com/p/ztxl
Waandamanaji wa madhehebu ya Coptic mjini Alexandria baada ya shambulio la bomu.Picha: AP

Waswasi zaidi unaelekezwa keshokutwa, ijumaa, siku ya kuadhimisha sherehe za Krismasi za watu wa madhehebu ya Kikristo ya Coptic. Vipi hali ya usalama ilivyo huko Kairo; ni suali Othman Miraji alilolielekeza kwa mwandishi wetu wa huko Kairo, Ismail Mfaume...

Mhariri: Othman Miraji

Mpitiaji: Josephat Charo