1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya wa Uchaguzi

25 Oktoba 2007

Kujenga hali imara na salama katika nchi ama katika sehemu za migogoro kwa njia ya kuwashirikisha wananchi ni lengo mojawapo kuu la siasa za nje za Ujerumani.

https://p.dw.com/p/C7gI
Mji wa Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Mji wa Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: Alexander Göbel

Mojawapo ya Programu ya Civic ya wizara ya mambo ya nje kwa ushirikiano na shirika la misaada la Oxfam iliundwa katika zaidi ya nchi 50, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ikiwa miongoni mwa nchi hizo.

Wageni watatu kutoka kongo waluihudhuria mjadala kuhusu maendeleo uliofanyika mjini Berlin na walieleza matatizo yanayowakabili katika kujenga hali ya uelewano kati ya wanavijiji wa jimbo la Manyema kusini mashariki mwa Kongo.

Mwandishi wetu wa mjini Berlin Petra Stein ametuandalia ripoti ifuatayo.