1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali baada ya kura za mchujo Kenya

Josephat Charo Nyiro / MMT5 Mei 2017

Upigaji kura za mchujo kuwatafuta wagombea wa vyama vya siasa nchini Kenya umefanyika katika mazingira yenye changamoto nyingi, ikiwemo kutokea vurugu na baadhi ya wagombea wakilalamika kuibiwa kura. Je, matukio haya yanaashiria nini kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 8, 2017? Ndiyo mada ya Josephat Charo katika kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/2cR5g