1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'Hakuna mwenye mamlaka ya kufuta matokeo ya uchaguzi'

Iddi Ismail Ssessanga29 Oktoba 2015

Kufuatia hatua ya Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salum Jecha kutangaza kufuta uchaguzi wa Zanzibar, mwansheria maarufu kutoka visiwani humo Bi Fatuma Karume amezungumzia uhalali wa kisheria wa hatua hiyo. Maelezo yake ni katika mahojiano na Iddi Ssessanga

https://p.dw.com/p/1GwOn