1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za Watoto – Kipindi 03 – Bunge la Watoto

22 Machi 2011

Nadia kutoka Burkina Faso sio tu kiongozi kwa kuzaliwa anayetaka kusuluhisha mambo kutumia maneno badala ya misuli. Pia ni mbunge – katika umri mdogo wa miaka 12! Unataka kufahamu mengi kumhusu? Bonyeza hapa!

https://p.dw.com/p/QquL