1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haki za walemavu Tanzania

Sylvia Mwehozi
19 Juni 2017

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu nchini Tanzania yamesema kuwa jeshi la polisi limetumia nguvu kupita kiasi katika kushughulikia walemavu waliokuwa wakifanya maandamano kupinga amri ya kutofika katikati ya mji wakisafirisha abiria kwa kutumia pikipiki zao za miguu mitatu zijulikanazo kama bajaji. Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/2extT