1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haja ya amani duniani

Mohammed Abdulrahman Mohammed4 Januari 2016

Kwa bahati mbaya yanayotokea duniani ni kinyume na maagizo ya dini tofauti, ni udhaifu wa binaadamu unaoleta machafuko na kuhatarisha amani duniani. Je nini kifanyike kuepukana na udhaifu wa binaadamu ili kuweze kudumisha upendo na amani na kuishi pamoja watu wa dini mbalimbali? Amani na haja ya kuwa nayo na kuidumisha barani Afrika ndio mada kuu ya kipindi cha maoni.

https://p.dw.com/p/1HXl3