1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana: miaka 60 ya uhuru

Mohammed Abdulrahman Mohammed10 Machi 2017

Ghana imeadhimisha miaka 60 ya uhuru tarehe 6 Machi. Ni taifa la kwanza Afrika magharibi kupata uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 1957 chini ya uongozi wa Kwame Nkrumah. Msikilize Mohammed Abdul-rahman akiizungumzia Ghana pamoja na Katibu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Salim Rashid.

https://p.dw.com/p/2Yxpb