Gaza. Wapiganaji wawili wa Kipalestina wauwawa. | Habari za Ulimwengu | DW | 05.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Gaza. Wapiganaji wawili wa Kipalestina wauwawa.

Shambulio la anga la Israel dhidi ya gari moja kusini mwa ukanda wa Gaza limeuwa wapiganaji wawili wa kundi la Islamic Jihad.

Maafisa wa Palestina wamesema kuwa shambulio hilo lilifanyika katika njia kati ya miji ya Khan Younis na Rafah.

Jeshi la Israel limesema kuwa watu hao wawili walikuwa wanapanga shambulizi la kigaidi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com