GAZA: Mateka Johnston aonyeshwa amepachikwa miripuko | Habari za Ulimwengu | DW | 26.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

GAZA: Mateka Johnston aonyeshwa amepachikwa miripuko

Kanda ya video ya mwandishi wa habari wa Kingereza,Alan Johnston alietekwa nyara,Ukanda wa Gaza majuma 15 ya nyuma,imeonyeshwa kwenye mtandao wa Internet.Johnston ameonyeshwa akiwa amefungiwa miripuko mwilini na akionya kuwa kundi lililomzuia litamripua,pindi kutafanywa juhudi za kumuokoa kwa nguvu.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com