GAZA: Israel yashambulia kituo cha polisi cha Hamas | Habari za Ulimwengu | DW | 03.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

GAZA: Israel yashambulia kituo cha polisi cha Hamas

Shambulizi lililofanywa na jeshi la anga la Israel dhidi ya kituo cha polisi cha Hamas,kusini mwa Ukanda wa Gaza,limemuua askari polisi mmoja na wengi wengine wamejeruhiwa.Kwa mujibu wa msemaji wa majeshi ya Israel,shambulizi hilo limejibu mashambulizi ya gruneti yaliyofanywa kutoka Ukanda wa Gaza dhidi ya makaazi ya Wayahudi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com