1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

FREETOWN:Wapatikana na hatia ya uhalifu wa kivita

21 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBps

Mahakama ya Sierra Leon inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa katika kuhukumu kesi za uhalifu wa kivita imetoa hukumu za kwanza kwa washtakiwa watatu .

Washtakiwa hao wamepatikana na hatia ya makosa ya ugaidi,kutumia watoto kama askari,ubakaji na mauaji.