1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ethiopia: Abai Schulze aleta ubunifu na ajira kwa vijana

Nadina Schwarzbeck9 Machi 2016

Kuanzisha kampuni yake ya mitindo, na nembo yake kibiashara ''Made in Ethiopia'', ndicho kilichomfanya Abai Schulze kurudi nyumbani Ethiopia, kutoka Marekani alikokuwa ameishi kwa miaka mingi. Ingawa amekuwa mjini Addis Ababa kwa miaka miwili tu, biashara yake ya mikoba imetamba kwenye maonyesho ya kimataifa.

https://p.dw.com/p/1IA2z