1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Enzi mpya Afrika Kusini?

Saumu Mwasimba
16 Februari 2018

Hayawi, hayawi, sasa yamekuwa. Baada ya shinikizo la muda mrefu kutoka kwa chama chake cha African National Congress ANC, hatimaye Jacob Zuma amekubali kuachia madaraka na kumpa nafasi Cyril Ramaphosa kuiongoza nchi. Je, hii ni ishara kwamba Afrika Kusini inafungua ukurasa mpya? Saumu Mwasimba anajadili na wachambuzi katika kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/2sntl