1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Elimu Jumla – Kipindi 10 – Kupendana

7 Aprili 2011

Katika kipindi hiki cha mwisho tutazungumzia juu ya mapenzi. Jack anampenda mtu fulani. Utagundua mambo mengi kuhusu kupendana na jinsi unavyojisikia unapompenda mtu.

https://p.dw.com/p/RGEf