DRC:Waziri Mkuu Matata Mponyo amaliza ziara yake mashariki mwa Kongo | Matukio ya Afrika | DW | 11.06.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC:Waziri Mkuu Matata Mponyo amaliza ziara yake mashariki mwa Kongo

Waziri mkuu wa DRC Matata Mponyo amemaliza ziara yake ya siku nne mashariki mwa DRC.

Mji wa Goma,mashariki mwa Kongo

Mji wa Goma,mashariki mwa Kongo

Katika ziara yake mkoani Kivu ya kaskazini, alithibitisha uungwaji mkono wa Rwanda kwa waasi wa M23. Matamshi yanayokanushwa na waasi hao. Nalo jeshi la Umoja wa mataifa likiwa linaunga mkono jeshi la DRC katika operesheni dhidi ya waasi, waasi
hao wamelitahadharisha jeshi hilo, kuwa litashambuliwa ikiwa
litakanyaga kwenye ardhi chini ya uongozi wao.

John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada