1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Waasi wa M-23 kuuzingira mji wa Goma

Huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo waasi wa M-23 hivi sasa wanaelezwa kusonga mbele na kuuzingira mji wa Goma ambao ni mji mkuu wa katika eneo la jimbo la Kivu ya Kaskazini.

Mwanajeshi wa serikali ya Congo akiwa mstari wa mbele mashariki ya nchi hiyo.

Mwanajeshi wa serikali ya Congo akiwa mstari wa mbele mashariki ya nchi hiyo.

Duru zinaonesha wapiganaji hao kwa hivi sasa wanajiandaa kuudhibiti mji huo ambao mpaka sasa bado upo katika udhibiti wa majeshi ya serikali. Katika kutaka kujua hali ilivyo Sudi Mnette alizungumza na Mbunge wa Goma Mayombo Omari Fikira na kwanza alimuuliza hivi sasa hali ikoje?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada