1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Ugonjwa wa Sotoka waua mbuzi kwenye jimbo la Bandundu

Zaidi ya mbuzi 70,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa sotoka kwenye jimbo la Bandundu kusini magharibi mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo.

Ugonjwa wa sotoka umewakumba Mbuzi

Ugonjwa wa sotoka umewakumba Mbuzi

Kwa mujibu wa shirika la Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO, ugonjwa huo uliojitokeza miezi mitatu sasa, umesambaa hadi katika majimbo jirani ya Equateur na Bas-Congo. Shirika la FAO limesema kufariki kwa wanyama hao ni pigo kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo ambao uchumi wao unatokana hasa na ufugo wa mbuzi. Taarifa kamili mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada