1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Mapigano Mashariki mwa Kongo

30 Aprili 2012

Huko DRC, Mamia ya raia wa Kivu kaskazini wameyahama makaazi yao na kukimbilia katika maeneo mengine ikiwemo mjini Goma na Viunga vyake,kutokana na mapigano yaliyozuka kati ya wanajeshi walioasi na jeshi la Serikali.

https://p.dw.com/p/14mzJ
Wanajeshi walioasi Mashariki mwa Kongo
Wanajeshi walioasi Mashariki mwa KongoPicha: picture alliance/dpa

Mwandishi wetu John Kanyunyu amekuwa akifuatilia hali ilivyo na kututumia ripoti ifuatayo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi