1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Mapigano mapya yazuka tena mashariki mwa Kongo

Kumezuka upya mapigano baina ya waasi wa M23 na jeshi la serikali katika viunga vya Jomba katika wilaya ya Rutshuru mkoani Kivu ya kaskazini mlashariki mwa DRC.

Mapigano yaendelea wilaya ya Rutshuru

Mapigano yaendelea wilaya ya Rutshuru

Na wakati huo huo, chama cha zamani cha uasi CNDP, kimetangaza
kujiondoa katika muungano wa vyama vinavyomuunga mkono rais wa DRC
Joseph Kabila.

Mwandishi wetu John Kanyunyu aliyeko mashariki mwa DRC ametutumia
ripoti ifuatayo kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada