DRC: Kasisi Jean-Marie Runiga asema si busara kuunda kikosi cha Umoja wa Afrika | Matukio ya Afrika | DW | 16.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Kasisi Jean-Marie Runiga asema si busara kuunda kikosi cha Umoja wa Afrika

Mratibu wa bawa la kisiasa wa M23 Kasisi Jean-Marie Runiga amesema,si jambo la busara kuunda kikosi cha Umoja wa Afrika kwa ajili ya Kongo,badala yake yaheshimiwe makubaliano kati ya serikali na makundi ya waasi.

Kikosi cha Jeshi la Umoja wa Afrika

Kikosi cha Jeshi la Umoja wa Afrika

Mwandishi wetu Masahariki mwa Kongo John Kanyunyu alizungumza na Kasisi Runiga na kwanza alikuwa na haya ya kusema kuhusu kundi lao la M23 .

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed AbdulRahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada