Leo, Harry na Leila wanakaribia kupokea habari muhimu – kubwa kwa maoni yao, lakini si lazima iwe hivyo machoni pa wengine. Kwa nini? Sikiliza!
Bayern Munich kuchuana na Real Madrid uwanjani Allianz Arena katika mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ya uwazi baina ya mataifa mawili ya Korea, kwenye mkutano wa kwanza wa kilele unaofanyika siku ya Ijumaa.
Mada mbili tu zimehanikiza magazetini : Mazungumzo kati ya rais wa Marekani Donald Trump na mgeni wake wa Ufaransa Emmanuel Macron mjini Washington, na hofu za kuibuka upya hisia za chuki dhidi ya wayahudi.
Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com