1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhana mbaya juu ya wanawake maofisini

Carolyne Robi Tsuma13 Aprili 2016

Mwanaume akionekana ofisini kwa bosi tunasema atakuwa anazungumzia mambo ya kazi. Mwanamke akionekana ofisini kwa bosi tunasema atakuwa anatembea na bosi wake. Katika kipindi cha Wanawake na Maendeleo, Caro Robi anaangazia dhana hasi wanazokutana nazo wanawake kazini.

https://p.dw.com/p/1IUST