1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Deutsch - warum nicht?

Deutsch – warum nicht?

Kozi ya lugha ya "Deutsch – warum nicht?" inasimulia hadithi ya Andreas,mwanafunzi wa uanahabari anayefanyakazi kama mlindalango kwenye hoteli. Kila mfululizo una vipindi 26 vyenye mazungumzo, mazoezi na klipu za sauti zinazoweza kupakulika. Kozi ya lugha inaangazia viwango vya A1 hadi B1 vya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages). Inalenga wanafunzi wanaoanza na wa juu. "Deutsch – warum nicht?" iliundwa kwa ushirikiano na Goethe-Institut.

Viwango: A1, A2, B1
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili