1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Cyril Ramaphosa aukosoa uongozi wa Rais Zuma

Makamu wa rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewataka wafuasi wake kulenga kubadilisha uongozi wa ANC akisema uongozi mbaya wa chama hicho umeigharimu ANC na uchumi wa nchi. Viongozi wa Afrika wataka msaada kujiimarisha kiulinzi badala ya kutegemea mataifa ya Magharibi. Idadi ya wanaougua kisukari kuongezeka hadi takriban milioni 700 ifikapo 2045 kutoka idadi ya sasa ya watu milioni 450

Tazama vidio 02:08