CRAWFORD: Bush ataka msaada zaidi kutoka NATO | Habari za Ulimwengu | DW | 22.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

CRAWFORD: Bush ataka msaada zaidi kutoka NATO

Rais wa Marekani George W.Bush amesema,anapanga kuwashinikiza wanachama wa Shirika la kujihami la magharibi-NATO kugawana mzigo nchini Afghanistan, huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.Bush alitamka hayo,baada ya kukutana na Katibu Mkuu wa NATO,Jaap de Hoop Scheffer katika shamba lake mjini Crawford,Texas nchini Marekani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com