1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za kibiashara kwenye mitandao ya kijamii

Mohammed Khelef
17 Novemba 2016

Wafanyabiashara wakubwa wanazidi kuiamini mitandao ya kijamii na vijana wameanza kuwekeza kwenye kusaka matangazo ya kampuni kubwa kubwa kupitia mitandao hiyo. Meneja Mkurugenzi wa Kampuni ya Jamii Media ya Dar es Salaam, Tanzania, Maxence Mello, inayoendesha mtandao wa Jamii Forum unaoongoza kwa kuwa na wasomaji wengi barani Afrika, anazungumzia fursa za kibiashara kupitia mitandao ya kijamii.

https://p.dw.com/p/2Soz0