Burundi yatoa chanjo kwa akinamama na watoto | Masuala ya Jamii | DW | 06.07.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Burundi yatoa chanjo kwa akinamama na watoto

Katika wiki ya "mama na mtoto" nchini Burundi, serikali ya nchi hiyo imeamua kutoa chanjo kwa watoto wote na pia wanawake wajawazito na wasichana wanaokaribia kufikisha umri wa kuweza kuwa mama.

Dawa ya matone

Dawa ya matone

Hamida Issa kutoka Bujumbura anazungumzia operesheni ya kutoa chanjo kwa akina mama na watoto wa Burundi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki maalum ya "Mama na Mtoto" nchini humo.

Mtayarishaji: Hamida Issa
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com