1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Burundi: Uhasama wa kisiasa

Vijana wa Burundi wanazungumzia juu ya hali ya vijana kutovumiliana kisiasa baada ya kujikuta katika vyama tofauti vya kisiasa.

Sikiliza sauti 09:43

Vijana wanakwenda hadi kuwapiga na hata kuwauwa vijana wengine wasiochangia chama. Katika mjadala tunataka kujua sababu na mbinu zinazoweza kutumiwa ili kukomesha hali hiyo Burundi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada