Burundi: Mwanaharakati Faustin Ndikumana akamatwa | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.02.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Burundi: Mwanaharakati Faustin Ndikumana akamatwa

Nchini Burundi Faustin Ndikumana mwanaharakati wa shirika linaloagiza wananchi kubadili mwenendo katika kukabiliana na maswala tete, kama rushwa, amefungwa jela.

default

Bujumbura mji mkuu wa Burundi

Bw.Ndikumana alituhumiwa kubaini kuwa wizara ya sheria imekuwa ikiathiriwa na rushwa. Muda mfupi kabla ya kupelekwa jela, Bwana Ndikumana alisema ni radhi kufungwa kwa kutetea maslahi ya wananchi.

Mwandishi wetu Amida Issa kutoka Burundi na taarifa kamili.

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com