1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Dansi

Burudani ya Kidumbaki

Sudi Mnette
24 Agosti 2017

Burudika na Kidumbaki, ngoma ya asili kutoka visiwani Zanzibar, inatoa burudani isiyo na kifamia jambo linafanya iweze kuchezwa hata masaa sita pasipo kupumzika. Zaidi kuhusu uhondo huo Tazama vidio iliyoandaliwa na Yakub Talib.

https://p.dw.com/p/2imZQ