Bugesera: Kutoka jangwa hadi ghala la chakula | Matukio ya Afrika | DW | 23.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Bugesera: Kutoka jangwa hadi ghala la chakula

Miongoni mwa alama za mabadiliko ya kijamii nchini Rwanda ni wilaya ya Bugesera ambayo imeondoka kutoka eneo la ukame na jangwa hadi kuwa mfuko wa chakula unaotegemewa na asilimia 60 ya Wanyarwanda.

Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Sylivanus Karemera anasimulia hadithi ya wilaya moja mashariki mwa Rwanda iliyojigeuza kuwa kituo cha kupatia chakula kwa nchi nzima, baada ya kuzoeleka kuwa kituo cha njaa, ukame na misaada ya chakula. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mtayarishaji: Sylivanus Karemera
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada