1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bongo Flava: Sauti za Dar es Salaam

23 Septemba 2015

Muziki wa Bongo Flava ni maarufu si tu Afrika Mashariki, lakini pia nje ya Afrika. Licha ya umaarufu wake, wasanii wadogo wa Bongo Flava hawana uwezo wa kujipatia kipato kutokana na mauzo ya muziki wao. Hapo ndipo Joseph Kusaga anapoingilia. Anawaedenleza siyo tu kupitia vituo vyake vya redio na televisheni, lakini pia kupitia maonyesho.

https://p.dw.com/p/1Gbsl