1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bomu lateguliwa Berlin

20 Aprili 2018

Polisi nchini Ujerumani wamewaondoa watu katika maeneo yaliyoko karibu na kituo kikuu cha treni cha Mji Mkuu Berlin leo wakati ambapo wataalamu wanajitayarisha kulitegua bomu ambalo lilitegwa katika eneo hilo wakati wa vita vya pili vya dunia na lilikuwa halijalipuka.

https://p.dw.com/p/2wPaA