BOGOTA:32 wafa katika ajali ya mgodi nchini Colombia | Habari za Ulimwengu | DW | 05.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BOGOTA:32 wafa katika ajali ya mgodi nchini Colombia

Wachimba mgodi wasiopungua 32 wamekufa kutokana na miripuko ya gesi aina ya methane ndani ya mgodi wa makaa ya mawe nchini Colombia.

Ajali hiyo imetokea katika jimbo la NORTE de SANTANDER kaskazini-mashariki mwa Colombia.

Habari zinasema hadi sasa ni maiti nne tu zilizopatikana.

Juhudi za kuwafikia wahanga wengine zinashindikana kutokana na msongamano wa gesi za sumu ndani ya mgodi.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com