1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto katika vituo vya kura

26 Oktoba 2015

Msemaji wa mtandao wa mashirika yanayochunguza uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Bi Helen Kidjo Bisimba anasema ingawa zoezi la uchaguzi nchini humo lilianza vyema Jumapili, hitilafu zilijitokeza katika vituo vingi.

https://p.dw.com/p/1GuVZ
North Mara Gold Mine in Tansania Helen Kijo-Bisimba Direktorin LHRC
Picha: DW/J. Hahn

[No title]