BERLIN: Msimamo wa Marekani kuhusu mazingira wasikitisha | Habari za Ulimwengu | DW | 29.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Msimamo wa Marekani kuhusu mazingira wasikitisha

Msemaji wa Baraza la wawakilishi katika bunge la Marekani,Nancy Pelosi anaepingana na Rais George W.Bush kuhusu masuala ya mazingira amekutana na mawaziri wa serikali ya Ujerumani mjini Berlin. Waziri wa mazingira wa Ujerumani,Sigmar Gabriel amesema,anasikitishwa na msimamo wa Marekani wa kutokuwa tayari kuchukua hatua za dhati dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com