1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bensouda: ICC haitesi wafungwa

Elizabeth Shoo1 Aprili 2016

Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu amekanusha madai kwamba wapo wafungwa wanaoteswa. Waasi wa LRA wameeleza kwamba Joseph Kony amewaonya kuwa watateswa na ICC wakijisalimisha.

https://p.dw.com/p/1IOBj
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, Fatou Bensouda (c) picture-alliance/AP Photo/J. Lampen
Picha: picture-alliance/AP Photo/J. Lampen

[No title]